Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
- Thread starter
-
- #21
Dogo isome. Ni moja ya kozi ambazo huwezi kosa kazi na ukiwa mzuri utafika mbali sana.
Maana ukishakua na experience unaweza kutembelea priavte health centres kuanzia dispensary mpaka hospitali ku offer consultancy services za namna ya ku manage hospitali and trust me ukiweza kujieleza vizuri utapata kazi ukimbie!
Ukimaliza nitafute!
Kwa sasa wa Tanzania ndio wamegundua kuwa hospitali haziwezi kuwa managed na madaktari. Mtu anafundishwa kutibu halafu unakuja kumweka ndio manager au administrative affairs za hospitali wapi na wapi?Asante kwa kunitia moyo, ngoja nikasome!
Kwa sasa wa Tanzania ndio wamegundua kuwa hospitali haziwezi kuwa managed na madaktari. Mtu anafundishwa kutibu halafu unakuja kumweka ndio manager au administrative affairs za hospitali wapi na wapi?
Mnahitajika sana tu, sio tu serikalini lakini kwa watu binafsi wenye biashara za hospitali! Mimi siwezi kumwajiri mtu mwenye a general business management degree ku run hospitali nimwache mtu aliyesomea hospital system management. Wazungu walishaona utofauti mkubwa wa skills zinazohitajika kuendesha biashara/ shughuli zingine na skills zinazohitajika kuendesha hospitali.
Unachosoma ndio emerging courses Africa japokua kwa wenzetu toka miaka ya 90 wameintroduce vyuoni. Soma wakija kushtuka market iko saturated.
Cha muhimu jifunze "kujiuza" yani advertise your skills once you have them, kwasababu kama unavyoona wengi hawana uelewa wa hii kitu.
Ukitoka hapo uchukue masters ya health economics, dogo WHO, UNICEF e.t.c. inakua viwanja vyako vya kujidai.
Great thinker.
..........Mishahara wanaanzia kiasi gani ukiwa na bachelor? Hayo maelezo yamefanya nipende hii kozi.Kwa sasa wa Tanzania ndio wamegundua kuwa hospitali haziwezi kuwa managed na madaktari. Mtu anafundishwa kutibu halafu unakuja kumweka ndio manager au administrative affairs za hospitali wapi na wapi?
Mnahitajika sana tu, sio tu serikalini lakini kwa watu binafsi wenye biashara za hospitali! Mimi siwezi kumwajiri mtu mwenye a general business management degree ku run hospitali nimwache mtu aliyesomea hospital system management. Wazungu walishaona utofauti mkubwa wa skills zinazohitajika kuendesha biashara/ shughuli zingine na skills zinazohitajika kuendesha hospitali.
Unachosoma ndio emerging courses Africa japokua kwa wenzetu toka miaka ya 90 wameintroduce vyuoni. Soma wakija kushtuka market iko saturated.
Cha muhimu jifunze "kujiuza" yani advertise your skills once you have them, kwasababu kama unavyoona wengi hawana uelewa wa hii kitu.
Ukitoka hapo uchukue masters ya health economics, dogo WHO, UNICEF e.t.c. inakua viwanja vyako vya kujidai.
Bachelor ya HSM haina market tena, nakumbuka nikiwa first year wale waliomaliza darasa la kwanza kabisa walipata wote kazi; sasa hivi masters ya HSM ndo ina-market kidogo. Na wengi wanaosoma hii masters of HSM ni Madaktari. Nina marafiki zangu kibao wamemaliza hii kozi na hawana ajira

Sina uhakika sana Pretty kwa serikalini ila nachojua ni kwamba salary scale za sector ya afya ndio za juu nchini. However, sector binafsi inategemea na ofisi yenyewe watu hulipwa kuanzia 800 mpaka 1.4. Ila hutugemea sana na eneo...........Mishahara wanaanzia kiasi gani ukiwa na bachelor? Hayo maelezo yamefanya nipende hii kozi.
Tuwashauri wadogo zetu wakasome kzoi kama hizi kama zinalipa.
Mzee naona unaongea kwa kukaririshwa maneno kama kasuku, kozi hii ipo Mzumbe tu, na hata wanaodahiliwa kwa kozi hii ni wale tu wenye ufaulu wa hali ya juu, field zake hazisumbui kabisa pia hata ajira zake hazisumbui mzee.
Wewe unaongea nini ? Nimesoma Mzumbe na Kumaliza Mzumbe main.
Huo ndo ukweli wapo weng wamemLiza na hawana ajira mwaka huu
Sasa mkuu hao wa mwaka huu wataajiriwa vipi na wakati mahafali yenyewe bado?
Jiadanganye tu hivyo hivyo kozi mbuzi zako hizo za sociology na PSPA.