Bachelor of Law LL.B

Curious21

Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
33
Reaction score
3
Nasikia hii faculty mambo ni Tight,wazoefu tupeni info aisee
 
Sheria ni kozi ngumu kuliko kozi zote duniani. Kama wewe siyo genius huwezi kupasi.
 
Sheria ni kozi ngumu kuliko kozi zote duniani. Kama wewe siyo genius huwezi kupasi.

sheria ngumu inategemea na chuo unachoenda kusoma kama udsm kwel sheria ngumu ila kwa vyuo vingine ni kama kitonga yan simple kama edu au bba
 
Kwa kuongezea ni kwamba degree ya sheria ndio yenye heshima kuliko zote duniani

Kwa mujibu wa nani? Na kwa nini iwe na heshima zaidi kuliko zote duniani kushinda, kwa mfano, udaktari wa binadamu?
 
Vip jaman bachelor of law ya udom nayo ni tight maana nackia ni kumeza vifungu eti ni kweli
 
Taaluma 3 kuu ulimwenguni
1. Udaktari
2. Sheria
3. Uchungaji (priest)
hizi umuhusu bimadanu yeyote yule tokea anazaliwa mpaka anakufa na ni lazima apitie mikononi mwa watu han. Mfano;
"WAKATI WA UHAI WAKO"
Unazaliwa kupitia mikoni mwa daktari. Utaugua atahusika kutibu afya yako.

Mwanasheria, Unaishi nikimaanisha utasajiliwa na kutambuliwa chini sheria ya vizazi na vifo (hapa utapatiwa cheti cha kuzaliwa) Mwanasheria kawezesha hili. Na utaongozwa na sheria husika kupita utaalamu wa mwanasheria

Utubatizwa/kutambuliwa kiimani kupitia Mchungaji, Padri au Sheikh. Hapa utafundishwa kumjua Mungu wakati wa maisha ya duniani kupitia watu hao.

"BAADA YA KIFO"
1. Daktari, hapa ndio mtu pekee atahitajika kuthibitisha kifo chako.

2. Mwanasheria, hapa itahitajika upatikanaji wa cheti cha kifo kupitia sheria ya vizazi na vifo.

3. Mchungaji/Padri/Sheikh, na huyu ndio mtu pekee atakae ongoza ibada ya mazishi yako siku unafukiwa ardhini.
 
Hujui ukisemacho wewe! Thats according to your limited scope of thinking!
 
hata human right hujui! Duu bora ungepiga edu mpga msuli we mbulula siwezi kukupa kesi yangu

Mpuuzi wewe unadhani chuokikuu tunasomasoma tu? iyo ni kozi ya kuchagua chuoni kwetu na intelectual property law, unachagua moja kati ya hizo
 
Hivi kirefu cha L.L.B ni nini hasa kwa kufuata huo mtiririko wa herufi? Kwanini Bachelor of Law isingekuwa abbreviated kama B.L?
 
The Bachelor of Laws .....Legum Baccalaureus Latin.... abbreviated LL.B., LL. B., LLB
 
The Bachelor of Laws (Legum
Baccalaureus Latin, abbreviated
LL.B., LL. B., LLB, or rarely, Ll.B.,
but never L.L.B.) is an
undergraduate, or bachelor,
degree in law (or a first
professional degree in law,
depending on jurisdiction)
originating in England and
offered in most common law
countries as the primary law
degree.[1] In English-speaking
Canada it is sometimes referred
to as a post-graduate degree
because previous university
education is usually required for
admission. The "LL." of the
abbreviation for the degree is
from the genitive plural legum (of
lex, law). Creating an
abbreviation for a plural,
especially from Latin, is often
done by doubling the first letter
 
Vip jaman bachelor of law ya udom nayo ni tight maana nackia ni kumeza vifungu eti ni kweli
Hata kama ingekua ni ya wapi vfungu lazma uvmeze tu! bro ang alisoma udom Law ila alidisco mwaka jana co kwamba alklua mbulula form six altoka na 1 ya 8... ila saiv yupo tumaini anasoma law ndo anaingia 2nd yr.. wala ucogope we kaza
kla k2 knataka ukaze boot .all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…