Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ni kozi ngumu kuliko kozi zote duniani. Kama wewe siyo genius huwezi kupasi.
sheria ngumu inategemea na chuo unachoenda kusoma kama udsm kwel sheria ngumu ila kwa vyuo vingine ni kama kitonga yan simple kama edu au bba
Nasikia hii faculty mambo ni Tight,wazoefu tupeni info aisee
Sheria ni kozi ngumu kuliko kozi zote duniani. Kama wewe siyo genius huwezi kupasi.
Kwa kuongezea ni kwamba degree ya sheria ndio yenye heshima kuliko zote duniani
Karibu sanaa mwanasheria mwenzangu nipo LL,B naingia mwaka wa pili,, pigaa ll,b
mwanasheria usiyejua sheria
hata human right hujui! Duu bora ungepiga edu mpga msuli we mbulula siwezi kukupa kesi yanguDogo mimi sio level zakoo wakili, na mwalimu ,nani zaidi? ,nipo nondo
hata human right hujui! Duu bora ungepiga edu mpga msuli we mbulula siwezi kukupa kesi yangu
Hata kama ingekua ni ya wapi vfungu lazma uvmeze tu! bro ang alisoma udom Law ila alidisco mwaka jana co kwamba alklua mbulula form six altoka na 1 ya 8... ila saiv yupo tumaini anasoma law ndo anaingia 2nd yr.. wala ucogope we kazaVip jaman bachelor of law ya udom nayo ni tight maana nackia ni kumeza vifungu eti ni kweli