Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisingemshauri hivyo-atapata mamilioni ya vyuo na atachagua chuo feki ATAIBIWA. Mimi nadhani ameweka hapa ili kama kuna mtu amesoma au anakifahamu chuo kilicho cha ukweli amsaidie.
Salaams Wanasheria,
Tafadhalini tena, Nisaidieni majina ya vyuo vikuu vya nje vinavyotoa degree za Sheria zinatambulika hapa TZ. Umri wangu (49 yrs) kuketi na darasani ni noma.
Sijapata chuo hadi leo.
Ahsanteni sana,
Edylux