Bachelor of public health

Tatizo wewe unachanganyikiwa na title kwenye professional huwa Kuna kitu kinaitwa related fields, huwa hatuangalii title tunaangalia content.
Title rafiki ni kitu muhimu sana na watu huanzia hapo. Kama una tafuta mtu wa environmental health na kuna applicants wa environmental health na wa public health niambie ni wa degree gani watapata priority?
Programs kuwa related means they share something but are different hence different titles.
Kwenye programs with similar titles ndipo nita angalia contents kwa ukaribu.
 
You can not have a degree ya ph na ehs ambazo zina SAME content.
 
You can not have a degree ya ph na ehs ambazo zina SAME content.
Tofauti ni jina tu..kenya waliamua kutumia la public health Tanzania tukaamua kutumia environmental health..ila ni kitu kile kile na lengo lile lile zaidi kazi zao ni zile zile.

#MaendeleoHayanaChama
 
You can not have a degree ya ph na ehs ambazo zina SAME content.
We always express content or ideas not words or title. Kila nchi huunda au hutengeneza mtaala kulingana na malengo yake. Kwa hoja yako hata mtaala wa degree ya udaktari wa kenya nitofauti na wa Tanzania. Hata hivyo content ni sawa kabisa. The same case kwenye environmental health na public health.
 
Kila program in title. Title is reflection of what should be expected in the contents of that program. Degree za udakitari Kenya na tanzania to a large extent they should have similar content and consider local variations.
 
Sasa unachokaza fuvu ni nini hasa.

Sayansi haibadiliki.

#MaendeleoHayanaChama
 
Na
Kila program in title. Title is reflection of what should be expected in the contents of that program. Degree za udakitari Kenya na tanzania to a large extent they should have similar content and consider local variations.
Nafikiri hujaelewa kinachomfanya mtu aajiriwe sio title ya degree Bali uwezo wa kufanya hiyo kazi husika. Ndio maana ajira yoyote inapotangazwa wanataja degree mbalimbali kwasababu ya ufanano wa content kwenye hizo degree.
 
Mkuu mbona unanilisha maneno na pia una jicontradict. Kwenye ajira katika vigezo vyao huweka majina ya hizo digirii. Huna kwaheri unayo karibu. Uwezo unaendana na interviews zinazofanyika. Kutegemea na aina ya kazi degree tajwa zaweza kuwa highly related lakini pia tumeshuhudia degrees zisizo fanana zikilundikwa pamoja. Lakini ki msingi yote huanzia na degree title.
 
Hakuna contradiction yoyote nilikuwa na kuweka sawa. Tatizo wewe umeshikilia sana title kuwa ndio msingi wa mtu kuwa public health professional kwasababu umeona Kuna nchi inatoa degree ya public health na mtu lazima asome hiyo ndio aonekane amesoma public health. Kimsingi hakuna universal criteria ya ku recognize ili uonekane umesoma public health lazima title ya degree iwe public helath. Cha muhimu ni content ya professional husika regardless of title.
 
Nikisoma public health at any level na kuwa public health professional.
Ukisoma environmental health unakuwa environmental health professional. Ukisoma economics unakuwa economist. Lakini wote watatu tunaweza kufanya kazi kwenye idara inayo deal na public health ingawa hiyo haitufanyi wote kuwa public health professionals.
 
Ok nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…