Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,332
Title rafiki ni kitu muhimu sana na watu huanzia hapo. Kama una tafuta mtu wa environmental health na kuna applicants wa environmental health na wa public health niambie ni wa degree gani watapata priority?Tatizo wewe unachanganyikiwa na title kwenye professional huwa Kuna kitu kinaitwa related fields, huwa hatuangalii title tunaangalia content.
Programs kuwa related means they share something but are different hence different titles.
Kwenye programs with similar titles ndipo nita angalia contents kwa ukaribu.