Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi


Yap, umeelezea vizur mkuu, nimewah kuiona kwenye ngaz nyingine pia kwa watu walioanzia Diploma kwenda degree, mishahara yao huwa hivyo ingawa kwa hapa sina uhakika mana nchi yetu nayo huwa inakizunguzungu linapoanzishwa swala jipya ...!!

Napenda kujua ni Masters zip ambazo MD ataruhsiwa kwenda lakin BCM hatakuwa na vigezo kuisomea ..?!
Maana tusijilidhishe tu kuwa hawa watu ni sawa ..

Tujadil zaid, na najiuliza hiv watu wa NACTE NA WIZARA huwa hawapiti mitaa hii kutoa ufafanuzi zaid ..?!
 
Masters Wanaoweza kusoma BCM ni nyingi sana ni zile zilizopo ndani ya internal medicine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…