Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

Mtu akisoma BCM anakuwa sawa na MD (they are at par), hawezi tena kusoma MD Bali anaweza Ku specialise kwenye ngazi ya masters!

Na mshahara wake ni Mkubwa zaidi maana yeye yupo kazini tayari kwa miaka mingi! Akiwa chuoni anakula boom pamoja na mshahara na promotions zake hazisimami!

Kuna MD mmoja alikuwa anadhani kuwa yeye lazima mshahara wake uwe Mkubwa kuliko wa AMO! Kwa mshangao wake alikuta AMO kamzidi kwa mbali. Wakamwelimisha kuwa huyu kakaa kazini kwa miaka kadhaa hivyo mshahara wake uko juu!

Yap, umeelezea vizur mkuu, nimewah kuiona kwenye ngaz nyingine pia kwa watu walioanzia Diploma kwenda degree, mishahara yao huwa hivyo ingawa kwa hapa sina uhakika mana nchi yetu nayo huwa inakizunguzungu linapoanzishwa swala jipya ...!!

Napenda kujua ni Masters zip ambazo MD ataruhsiwa kwenda lakin BCM hatakuwa na vigezo kuisomea ..?!
Maana tusijilidhishe tu kuwa hawa watu ni sawa ..

Tujadil zaid, na najiuliza hiv watu wa NACTE NA WIZARA huwa hawapiti mitaa hii kutoa ufafanuzi zaid ..?!
 
Masters Wanaoweza kusoma BCM ni nyingi sana ni zile zilizopo ndani ya internal medicine.
 
Back
Top Bottom