Bachelor of Science in Data Management - Open University of Tanzania

Mkuu ulisoma hii course? Na je chuo cha open kinatambulika vizuri nchi nyingine...?
 
Ni magufuli aliua uchumi, kwa sasa ni swala la muda tu mambo yatakua sawa.
 
Asante mkuu,

All the best kwenye masomo yako. Nikipata wasaa, nitakupa recommendations za vitabu vya kusoma, tutorial na links za seminars na workshops.

Blessings your way
 
Kabla ya kusaidia kujibu uliyemuuliza swali naomba kukuuliza na wewe, kwanini unaonyesha mashaka kuhusu eti OUT kutambulika vizuri nchi nyingine?
Kuna watu wanaesma scholarship/kazi/ nje wanazingatia "vyuo vikuu" tu!

Unaweza endelea tu kunifafanulia
 
Kuna watu wanaesma scholarship/kazi/ nje wanazingatia "vyuo vikuu" tu!

Unaweza endelea tu kunifafanulia
Sijajua kuhusu hilo, lakini kama wanazingatia "Vyuo Vikuu " tu hata Open University of Tanzania nacho ni Chuo Kikuu kamili chenye ithibati kutoka TCU!!!!
 
Sijajua kuhusu hilo, lakini kama wanazingatia "Vyuo Vikuu " tu hata Open University of Tanzania nacho ni Chuo Kikuu kamili chenye ithibati kutoka TCU!!!!
Unaweza nisaidia nipate majibu, kwa maswali ya hapo juu niliyowauliza wadau?
Nipate mwangaza
 
Nasubiri wafungue dirisha la application August kwa ajili ya intake ya mwez wa kumi/academic year 2021/2022
Ni course inayochukuwa muda gani?, gharama..je?

All the best mkuu!!
 
Ni course inayochukuwa muda gani?, gharama..je?

All the best mkuu!!
Thanks mkuu,

Ni miaka 3 mpaka 6, ina units 40 @90,000, so mpaka unamaliza ni kama 3,600,000, ila first year andaa 1,200,000 ila inalipwa kwa installment
 
Thanks mkuu,

Ni miaka 3 mpaka 6, ina units 40 @90,000, so mpaka unamaliza ni kama 3,600,000, ila first year andaa 1,200,000 ila inalipwa kwa installment
Sawa sawa!
 
Asante mkuu,

All the best kwenye masomo yako. Nikipata wasaa, nitakupa recommendations za vitabu vya kusoma, tutorial na links za seminars na workshops.

Blessings your way
Aingie MIT open courseware. Wanatoa kozi data science ila kuna mda wanakunyima full access mpaka uchangie ila kozi ziko vizuri kama upo class vile.
Tarehe 2jun watakuwa na python For begginer hasa data science. Kwa kuwa anataka kujiunga okt ni vema aingie apate hizi introduction kutoka vyuo vikubwa.
Kozi ni free.
 
Thanks boss,

Am on it..
 
Thanks boss,

Am on it..
Ulete mrejesho. Harvard, Birminghsm vyoye vina free course, jenga utamaduni wa kutembelea katija sight zao mara kwa mara ili uendane na uhalisia.
Kana iko vizuri kiuchumi ujisajili hizo kozi upate na vyeti kwa kila sub course utakayosoma.
Kama utaisoma hio course nitaomba uni pm kwa sababu nami nataka nianze nayo mpaka watakapoishia.
 
Mkuu Rastus

Hii hapa curriculum ya OUT kwa Bsc Data Management.

Your views or any comment?
 
Mkuu Rastus

Hii hapa curriculum ya OUT kwa Bsc Data Management.

Your views or any comment?View attachment 1843879
Well, courses zao zinacover key things.

On your own anza kusoma hizi courses:
  1. Understanding Computers (https://bit.ly/3ACyJKB)
  2. Introduction to Computer Science (https://bit.ly/3jPdcZ1)
  3. Introduction to Computer Science and Programming with Python (Introduction to Computer Science and Programming in Python)
Kama hujawahi fanya programming hizi courses zitakupa basics za computer science -ni bure kabisa. Ukimaliza hizi unaweza endela na courses nyingine za programming na analytics vizuri.

Pia, unahitaji usome economics kidogo.
  1. Introductory Microeconomics (Principles of Microeconomics)
  2. Introductory Macroeconomics (https://bit.ly/3hm1Av2)
Hizi two courses zitakupa perspective kwenye uchumi. Data analysts wanafanya kazi sana na economic data. Inabidi uwe na basic understanding ya economics. Tumia hizo links usome. Microecon ni lectures za MIT na hizo za Macroecon ni lectures za Missourri State Uni.

Ukifika muda wa electives chagua zitakazo match goals zako. Kama unaintrest na health data basi fanya health data management.

Fungua account Harvard Online Learning au MIT Opencourseware kama Tangantika alivyoshauri. Hizi ni learning resources nzuri sana. Vitu vingi itabidi ufanye self learning. Google wanatoa professional certificate ya data analytics. Unaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…