bachelor of science in famly and consumer

daltony temu

Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
10
Reaction score
4
naomba msaada wakubwa kujua hii course inausiana na nn na ikoje katika soko la ajira..nimechagualiwa sua second round..naomben msaaba kwa hlo
 
uwezo wa kuibadil si unawezekana !na inataratibu zipi !?
 
Imebase kwenye mambo ya lishe hasa kwa wagonjwa, wazee na watoto. Ila pia unaweza jiajiri kwa kufungua centre yako ambayo utakuwa unatoa consultation hasa katika mambo ya lishe tu.

Ila ukibahatika kupata kazi kwenye NGO's au kwenye kambi za wakimbizi utapiga sana hela binti..

Mchepuko wangu kamaliza hiyo kozi, ila kwenye upande wa ajira kuna kamsoto kake mrembo.
 
Yani kama unaweza kubadiki badili,,sio course hiyo Nina ushuhuda,,ila mi sijaisoma
 
Mtoa Mada unaenda soma husbandry care Sjui husband vyovyote vile inavyoandikwa.unaenda kusoma jinsi ya kumuhudumia mume ?

Bila kusahau kwenda dakawa kujifunza ushonaji.. Acha ungese dogo

Sio zarau hilo lilikuwa jina lake apo awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…