daltony temu
Member
- Jun 7, 2019
- 10
- 4
naomba msaada wakubwa kujua hii course inausiana na nn na ikoje katika soko la ajira..nimechagualiwa sua second round..naomben msaaba kwa hlo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio unaweza kuibadili lkn itategemeana na ufaulu wako pia na vigezo vinavyo itajika kwende kwenye course unayo itaka wwuwezo wa kuibadil si unawezekana !na inataratibu zipi !?
MisituPale sokoine umesoa kozi gani
YapHongera ni moja mwa kozi nzuri kuna marafiki zangu baadhi walikuja kusoma hapo sua hiyo kozi, naona wako vizuri kiasi chake.
Umemaliza mwaka upi queen?Misitu
Misitu