Bachelor of science in information system

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
317
Reaction score
170
Habari wana JF,

Naomba kufahamishwa vizuri kuhusu hii kozi ya Bachelor of science in information system inayotolewa UDOM pale CIVE Ina deal na vitu gani hasa?

Na je koding ipo sana kwenye hii kozi? Fursa zake kwa sasa mtaani baada ya kuhitimu!!
 
Mzee unaogopa coding?

Kama unapenda computer kasome yoyote kati ya zifwatazo..

1. Computer science
2. Software engineering
3. May be Computer engineering
 
Napenda nuende pale CIVE sasa nimesoma PCB hizo kozi ulizozitaja vigezo vinakataa vinahutaji PCM
 
Hata computer science?
Ndio kwa UDOM ni PCM ila naona vyuo vingine hesabu ya o level ukifaulu wanakubeba ila Udom na baadhi ya vyuo naona wana taka Advanced Mathematics na masomo mengine
 
Back
Top Bottom