Kwa kweli ndugu zangu mimi nimekosa mwelekeo wa maisha kwa sasa . Sasa nimeamua nichukue hii degree naombeni ushauri wenu hasa katika upatikanaji wa ajira
Jaribu kuwa mbunifu tu, IT & Computer science ni courses nzuri sana na they do pay off a lot...Dunia sasa imetawaliwa na Technology na tuendako ndio kabisa...mtatafutwa
Ni course nzuri sana ht mm nasoma, hasa katika kujiajiri na mshahara wake ni mkubwa ukiajiri,nakushauri ukipata nafasi ya kusoma hiyo courze usisindikize wenzio ujifunze kwa umakini itakusaidia badae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.