Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi napendekeza Nursing ndo mpango mzima hapo.
BSc NURSING NDIO MPANGO HASA KAMA WEWE NI MVULANA Ni VIZURI ZAIDI, NURSING ni zaidi hata ya Md kama unajichanganya vizuri, nurse anaweza fanya kazi na kuajiriwa popote ulimwenguni zaidi ya profesional zote, kwa detail zaidi ingia kwenye web ya shirika la afya (WHO) WANAITAJI SANA MANESI, ukipata Nursing midwifery itakuwa poa zaidi, tatzo la manurse ni kutojikubali, ila ukjikubali utakula mema ya nchi.
kama unataka kuwa pure scientist bsc medical laboratory ndio mahala pake
the whole medicine is centered on laboratory investigation, u cant do a researche in medical field without a laboratory
a true a diagnosis is not complete without a laboratory
hizo zilikuwa preamble
salary range : bongo for degree holder 700k+ inadepend unafanya kazi wapi mashirika ya utafit yapo yana offer hadi up to 2-3m per month
zaidi u can work worldwide
B the Don mambo ya mkopo imekuaje jamaa wetu hawa bwana ukifuata mahesabu yao waliyotuambia tutumie kulipa kama kwa mimi wangeniibia 470000 kwa sababu mwanzo waliniambia nipeleke 1650000 lakini baada ya kupiga mahesabu kutokana na loan amount washalipa tuition fee 3100000 , kwa hiyo wanakua wananidai 4ooooo ukijumlisha na gharama zao nyingine inakua 1180000. kwenu nursing vipi mahesabu yameenda sawa ...!? me nitaenda jumatatu kulipa ila nitaonana na finance manager kwanza kuweka mambo sawa....
nursing is the best my dear u naweza kuamua kufanya kaZi popote mie nachukua bsn i really wanna go further.nakushauri uende nursing. ila kwa unurse wa tz malipo ni duni sana labda ubahatike kwenye mashirika ambapo kama una degree nadhani its easy to be accepted
chuo gan mkuu?
bro chuo gan?
Zote njaa tu wanaishia kuwa masikini
Imtu brother ,
bro.hata mm nimechaguriwa pale pale na mkopo cyo mbaya sana tution fee heslb wamenipa 3100,000/= sasa ili 2chat 2kiwa free 2pia Email yako then 2we 2nasomana na 2wekane sawa bro.
kweli bwana benson ulvyonena! Itakuwa safi Kama akitoa sababu, maana czan kama umu ndan kunam2 aliyeishia darasa la saba, kila mmoja amepita sec na kuendelea so 2naashum kuwa kila mmoja anajua kama ukitoa point ni lazma iwe na maelezo pamoja na mifano yake. mpigamsuli...eeeee .....dadavua thread yako hapo juu!kitu gani kinakufanya useme hivyo , embu tupe facts kidogo ...
Sor ni kawaida kwangu kuchanganya R na L au kosa langu lip zaid ya ilo?Uandishi wako huu
Sor ni kawaida kwangu kuchanganya R na L au kosa langu lip zaid ya ilo?
2chat ndio nini?