bachelor of science in nursing vs bachelor of medical laboratory

bachelor of science in nursing vs bachelor of medical laboratory

BSc NURSING NDIO MPANGO HASA KAMA WEWE NI MVULANA Ni VIZURI ZAIDI, NURSING ni zaidi hata ya Md kama unajichanganya vizuri, nurse anaweza fanya kazi na kuajiriwa popote ulimwenguni zaidi ya profesional zote, kwa detail zaidi ingia kwenye web ya shirika la afya (WHO) WANAITAJI SANA MANESI, ukipata Nursing midwifery itakuwa poa zaidi, tatzo la manurse ni kutojikubali, ila ukjikubali utakula mema ya nchi.

mwanaume nursing?!unaongea tu wengi wao wanatafta jinsi ya kutoka huko chunguza..lab is very marketable
 
Zote njaa tu wanaishia kuwa masikini

samahani natumia simu siwezi kufanya attachment ila nikirejea vizuri mtoa thread anataka general idea maana hili ni soko la kimataifa, kwa kurejea shirika la afya duniani (WHO) wanaitaji manurse especilly nursing in midwifery Na mshahara wametangaza ni U$D 87,500 Per month watagurimia kila kitu plus bima, sasa mtu atakayepata hiyopost, umasikini atautoa wap? BOTSWANA WAMETANGAZA KUCHUKUA manurse toka TZ, Na wanalipwa kwa viwango vya exponent na tiyari baadhi ya wahitimu toka St. JOHN DOM Wameenda. KWA WALE WATAKAOKUWA WAMECHAGULIWA UDOM NURSING MTAONANA NA PROF. AINORY GESASE KWA MAELEZO ZAIDI.
 
Back
Top Bottom