bachelor of science in nursing vs bachelor of medical laboratory

B the Don

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
79
Reaction score
4
ipi kati ya izo ni rahisi kuisoma, kujiendeleza, na pia inaweza kumtoa muhusika katika maisha yake ukilinganisha na salary zao.Na ipi unamshauri mtu akasome?.2pia maujuz yako unayoyajua kati ya izo koz mbili.
 
BSc NURSING NDIO MPANGO HASA KAMA WEWE NI MVULANA Ni VIZURI ZAIDI, NURSING ni zaidi hata ya Md kama unajichanganya vizuri, nurse anaweza fanya kazi na kuajiriwa popote ulimwenguni zaidi ya profesional zote, kwa detail zaidi ingia kwenye web ya shirika la afya (WHO) WANAITAJI SANA MANESI, ukipata Nursing midwifery itakuwa poa zaidi, tatzo la manurse ni kutojikubali, ila ukjikubali utakula mema ya nchi.
 

ukweli mkuu, hata mm ckatai manesi ni kweli hawajikubali.
 
kama unataka kuwa pure scientist bsc medical laboratory ndio mahala pake
the whole medicine is centered on laboratory investigation, u cant do a researche in medical field without a laboratory
a true a diagnosis is not complete without a laboratory

hizo zilikuwa preamble
salary range : bongo for degree holder 700k+ inadepend unafanya kazi wapi mashirika ya utafit yapo yana offer hadi up to 2-3m per month

zaidi u can work worldwide
 

okey mkuu asante kwa mchango wako.
 
nursing is the best my dear u naweza kuamua kufanya kaZi popote mie nachukua bsn i really wanna go further.nakushauri uende nursing. ila kwa unurse wa tz malipo ni duni sana labda ubahatike kwenye mashirika ambapo kama una degree nadhani its easy to be accepted
 

bro chuo gan?
 

chuo gan mkuu?
 
bro.hata mm nimechaguriwa pale pale na mkopo cyo mbaya sana tution fee heslb wamenipa 3100,000/= sasa ili 2chat 2kiwa free 2pia Email yako then 2we 2nasomana na 2wekane sawa bro.

Uandishi wako huu
 
kitu gani kinakufanya useme hivyo , embu tupe facts kidogo ...
kweli bwana benson ulvyonena! Itakuwa safi Kama akitoa sababu, maana czan kama umu ndan kunam2 aliyeishia darasa la saba, kila mmoja amepita sec na kuendelea so 2naashum kuwa kila mmoja anajua kama ukitoa point ni lazma iwe na maelezo pamoja na mifano yake. mpigamsuli...eeeee .....dadavua thread yako hapo juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…