BACHELOR OF SCIENCE IN STATISTICS .......Mtu anaemaliza hapa anaenda fanya kazi sehemu zipi???

kwa kifupi uwanja wako wa ajira ni mkubwa sana kuanzia financial institutions, research institutions, yan ni nyingi sana mpaka siwezi kuandika..kaka..ua future is well and good..
 
thanx lyambe
 
we soma kwanza ,utafundisha tempo vinginevyo utasugua bench.
 
Back
Top Bottom