Davis chelsea
Member
- Jul 28, 2011
- 93
- 10
mkuu nakushauri achana na hiyo course inazingua sana kwenye kazi,kama unataka kusoma tax maliza undergraduate kwanza kwenye fani nyingine then utafute hiyo ya kodipale IFM wanatoa bachelor ya tax management vipi wadau iko poa??tofauti na TRA unaweza kupiga wapi job?
Nna ndugu yangu anasota...me namaliza mwaka wa 3 kazini...naingia wa 4 soon yy anasota home..jamani madogo chagueni fani sahihi..sio tu kisa unapata boom unasoma tu...the guy alisoma pcb na alifaulu zaidi yangu kisa tu eti science ngumu hakutaka kuendelea nayo
pale IFM wanatoa bachelor ya tax management vipi wadau iko poa??tofauti na TRA unaweza kupiga wapi job?
Nna ndugu yangu anasota...me namaliza mwaka wa 3 kazini...naingia wa 4 soon yy anasota home..jamani madogo chagueni fani sahihi..sio tu kisa unapata boom unasoma tu...the guy alisoma pcb na alifaulu zaidi yangu kisa tu eti science ngumu hakutaka kuendelea nayo
unaweza fanya hata na hizi audit firm mkuu kasome tu usiogope ila kama hujui sheria plus hesabu utajuta..