Bachelor of tax management

Bachelor of tax management

Davis chelsea

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
93
Reaction score
10
pale IFM wanatoa bachelor ya tax management vipi wadau iko poa??tofauti na TRA unaweza kupiga wapi job?
 
mkuu nakushauri achana na hiyo course inazingua sana kwenye kazi,kama unataka kusoma tax maliza undergraduate kwanza kwenye fani nyingine then utafute hiyo ya kodi
 
Nna ndugu yangu anasota...me namaliza mwaka wa 3 kazini...naingia wa 4 soon yy anasota home..jamani madogo chagueni fani sahihi..sio tu kisa unapata boom unasoma tu...the guy alisoma pcb na alifaulu zaidi yangu kisa tu eti science ngumu hakutaka kuendelea nayo
 
ITA-TRA wanatoa bachelor of customs and tax management nitofauti na IFM, karibu sana
 
kila kampuni/viwanda lazma walipe kodi so unaweza kuajiriwa sehem.yeyote na ukawa unahsika na ishu za kodi
 
Nna ndugu yangu anasota...me namaliza mwaka wa 3 kazini...naingia wa 4 soon yy anasota home..jamani madogo chagueni fani sahihi..sio tu kisa unapata boom unasoma tu...the guy alisoma pcb na alifaulu zaidi yangu kisa tu eti science ngumu hakutaka kuendelea nayo

wewe huyo hajiamini naanataka mihela kibao wakati hana uzoefu aende kwenye audit firm the tax dept aone kama watamkataa..
 
Back
Top Bottom