Mushi junior11
New Member
- Oct 13, 2018
- 1
- 2
Naomba kuuliza kwa aliyesomea DIT Bachelor of Technology in Laboratory Science opportunities ya ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzako anamaliza chuo, unataka kumfanya fursaUnaanzisha kiwanda kusindika pombe ya mabibo katika viwango vinavyo kubalika haiitwi gongo unakua tajiri muda si mrefu acha mawazo ya kuajiriwa. Pombe inanywewa na matajiri, masikini , wenye shida na wenye raha na kuhakikishia mkuu utanikumbuka. Kama vp in pm tuyajenge mi sio msomi ila tukatoka wote.
sio kweli kiongozihamna aliyemaliza kwa sasa.
kwakua ni kozi mpya
unaweza kufanya kazi zozote za kiutalamu katika maabara zote in exception of medical laboratories; maabara ambazo mtaalamu huyo anaweza kufanya kazi ni kama za viwanda(vya maji, madawa, vyakula, rangi, nguo, n.k) , shuleni, vyuoni, research laboratories, taasisi za serikali kama TBS, TFDA, GCLA, TPDC, Idara za maji, GST, migodini n.k hakika watalaam hawa wanaweza kuwa vilaka katika maeneo mengi sana; aidha katika sera ya sasa ya Tanzania ya Viwanda kuna uchache au hakuna private reseaches labs ambazo wajasiliamali wanaweza kuzitumia ku-modify bidhaa zao au kuvumbua bidhaa mpya, hivyo hiyo fursa ambayo mtaalamu aliyehitimu hiyo kozi anaweza kuichungulia na kuinyakua.Naomba kuuliza kwa aliyesomea DIT bachelor of technology in laboratory science opportunities ya ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani
Nimekuelewa sana boss wanguunaweza kufanya kazi zozote za kiutalamu katika maabara zote in exception of medical laboratories; maabara ambazo mtaalamu huyo anaweza kufanya kazi ni kama za viwanda(vya maji, madawa, vyakula, rangi, nguo, n.k) , shuleni, vyuoni, research laboratories, taasisi za serikali kama TBS, TFDA, GCLA, TPDC, Idara za maji, GST, migodini n.k hakika watalaam hawa wanaweza kuwa vilaka katika maeneo mengi sana; aidha katika sera ya sasa ya Tanzania ya Viwanda kuna uchache au hakuna private reseaches labs ambazo wajasiliamali wanaweza kuzitumia ku-modify bidhaa zao au kuvumbua bidhaa mpya, hivyo hiyo fursa ambayo mtaalamu aliyehitimu hiyo kozi anaweza kuichungulia na kuinyakua.
Hiyo kozi haina ajira kwa upande wa shahada, ni heri ukasome hata Mwalimu wa Fikizia na Kemia kuliko Lab Tech.Unaanzisha kiwanda kusindika pombe ya mabibo katika viwango vinavyo kubalika haiitwi gongo unakua tajiri muda si mrefu acha mawazo ya kuajiriwa. Pombe inanywewa na matajiri, masikini , wenye shida na wenye raha na kuhakikishia mkuu utanikumbuka. Kama vp in pm tuyajenge mi sio msomi ila tukatoka wote.
Kama ww ni mwalimu kozi vp ni nzuri au haifai tupeane ushauri Kwa wale tunao taka kuongeza elimuHiyo kozi haina ajira kwa upande wa shahada, ni heri ukasome hata Mwalimu wa Fikizia na Kemia kuliko Lab Tech.
Lete kozi unazotamani kusoma kisha nitakushauri kulingana na mapendekezo yakoKama ww ni mwalimu kozi vp ni nzuri au haifai tupeane ushauri Kwa wale tunao taka kuongeza elimu
Lete kozi unazotamani kusoma kisha nitakushauri kulingana na mapendekezo yako
1.Bachelor of laboratory science and technologyLete kozi unazotamani kusoma kisha nitakushauri kulingana na mapendekezo yako
Kazi zipo labda kama sio mfuatiliajia au mtafutajiHiyo kozi haina ajira kwa upande wa shahada, ni heri ukasome hata Mwalimu wa Fikizia na Kemia kuliko Lab Tech.