Bachelor of Technology in Laboratory Science ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani?

Unaanzisha kiwanda kusindika pombe ya mabibo katika viwango vinavyo kubalika haiitwi gongo unakua tajiri muda si mrefu acha mawazo ya kuajiriwa. Pombe inanywewa na matajiri, masikini , wenye shida na wenye raha na kuhakikishia mkuu utanikumbuka. Kama vp in pm tuyajenge mi sio msomi ila tukatoka wote.
 
Mwenzako anamaliza chuo, unataka kumfanya fursa
 
Naomba kuuliza kwa aliyesomea DIT bachelor of technology in laboratory science opportunities ya ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani
unaweza kufanya kazi zozote za kiutalamu katika maabara zote in exception of medical laboratories; maabara ambazo mtaalamu huyo anaweza kufanya kazi ni kama za viwanda(vya maji, madawa, vyakula, rangi, nguo, n.k) , shuleni, vyuoni, research laboratories, taasisi za serikali kama TBS, TFDA, GCLA, TPDC, Idara za maji, GST, migodini n.k hakika watalaam hawa wanaweza kuwa vilaka katika maeneo mengi sana; aidha katika sera ya sasa ya Tanzania ya Viwanda kuna uchache au hakuna private reseaches labs ambazo wajasiliamali wanaweza kuzitumia ku-modify bidhaa zao au kuvumbua bidhaa mpya, hivyo hiyo fursa ambayo mtaalamu aliyehitimu hiyo kozi anaweza kuichungulia na kuinyakua.
 
Nimekuelewa sana boss wangu
Mm ni mwalimu chem na bios nataka kua lab technician katika kada yangu nisome ipi kati ya hizi Bachelor of laboratory science and technology ipo DIT NA MUST au bachelor of biotechnology and labotory science ipo sua msaada wadau
 
Unaanzisha kiwanda kusindika pombe ya mabibo katika viwango vinavyo kubalika haiitwi gongo unakua tajiri muda si mrefu acha mawazo ya kuajiriwa. Pombe inanywewa na matajiri, masikini , wenye shida na wenye raha na kuhakikishia mkuu utanikumbuka. Kama vp in pm tuyajenge mi sio msomi ila tukatoka wote.
Hiyo kozi haina ajira kwa upande wa shahada, ni heri ukasome hata Mwalimu wa Fikizia na Kemia kuliko Lab Tech.
 
Lete kozi unazotamani kusoma kisha nitakushauri kulingana na mapendekezo yako

1.Bachelor of laboratory science and technology
2.Bachelor of biotechnology and laboratory science course nyingine zinazo husu laboratory mtanisaidia ila hizo ndio na prefer malengo yangu baadae niwe mtaalamu wa maabara zaidi DIP GPA 4.9 NA SIX ACEE Chemistry B,Biology C lakin O-level mathematics C na physics D na BAM E
 
Back
Top Bottom