Bachelor vs Degree

Bachelor vs Degree

lowamond

Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
24
Reaction score
5
Habari Zenu Wana JF,. Naomba Mnisaidie Maana Ya Neno Degree Kama Inavyotumika Kwenye Bachelor Degree Na Masters Degree Katika Issue Za Academic,.
 
Kwanza ujue neno Bachelor halikai peke yake, lazima liwe Bachelor's Degree. Degree ni kipimo cha kueleza academic level kama vile Bachelor's Degree , Master's Degree, Degree of Doctor of Philosophy etc. Kwa hiyo degree ni kipimo cha kiwango cha taaluma katika elimu ya juu na Bachelor's Degree ni shahada ya kwanza.
 
Are you passionate about science and technology? Ready to make a difference in the world of laboratory sciences? Join us at the Dar es Salaam Institute of Technology, Mwanza Campus for our Bachelor of Technology (B. Tech) in Laboratory Sciences program!
 
Back
Top Bottom