Bachelor ya Civil, Mechanical au Electrical Engineering

Bachelor ya Civil, Mechanical au Electrical Engineering

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,727
Reaction score
6,615
Habarini wakuu! mimi nataka nikachukue fani kati ya hizi hapa juu, naombeni ushauri ni ipi nzuri na rahisi kwa upande wa ajira kma nikifanikiwa kumaliza? natanguliza shukrani
 
Mi mwenyewe nilishauriwa hizo zote ulizoorodhesha hapo juu.Nadhani zote ni nzuri sana.
 
Electrical, sababu ni kazi kwenye viwanda vikubwa kwa vidogo, migodi, telecom companies, breweries, makampuni ya umeme,
 
Fani zote hizo ni nzuri.Kama una mawazo ya kufanya kazi serikalini soma Civil itakutoa lkn kama hauna wazo la kuajiriwa serikalini soma yoyote kati ya hizo itakutoa tu.
 
Elecrical engineering UD ukikosa DIT mkuu, ajira nje nje si unajua kila kitu kinatumia umeme nowday
 
hongera kama utazimudu hizo zote,,ila kwa mtazamo na uzoefu wangu nenda civi,,LAKINI USISOME UD kiukweli pale limebaki jina tu nenda kati ya hivi vyuo..
-DIT
-ST JOSEPH (ila hawa inabidi ukubali kuachana na starehe zote wanabana ile mbaya)
-MUST
,,,,sina ugomvi na UD ila jaribu kwenda pale chuoni tembelea wanafunzu wa hizo department wakufunulie kila kitu kuhusu wanayosoma na kivitendo wako vipi?
------pia tembelea na st joseph ukaone wanavosoma
...nenda na DIT,,,,,,,,,,,USISAHAU MUST
NI MTAZAMO NA UZOEFU WANGU TU
 
Soma petroleum engingeering ya udsm,ni kozi mpya hapa chuoni na soko lake liko vizuri.over
 
Back
Top Bottom