50+ ni Dada??!!maskini Jaffarai Mziki umemshinda, Na huyu dada pia kamshindwa......
Daah vyuma vya Magu sio mchezo,kutoka Mwandishi wa Rais(enzi za mkapa) kwenda kua bosd wa PR NMB,then ubunge wa E/Africa(na hapo jina lake lilipoletwa Kwny kikao cha uteuzi kwa awamu nyingine Magu akasema tena huyu sitaki kumsikia kabisaa hahah) then kuka kwny kuanzisha Bachelorette sio.
Anyway she got balls,maisha lazima yaendelee nje ya system.
That's for sure sis.This I call hustling. π
View attachment 834182View attachment 834183
Mdada Shyrose naona anataka ku Introduce program ya Bachelorette, ambayo ni maarufu na hurushwa sehemu nyingine hapa duniani. Ni program ambayo wakaka hujitokeza na kujieleza kwa nini wanafaa kumuoa mdada fulani, na mwisho mdada huchagua mwanaume anae ona anafaa.
Shyrose mwenyewe alianza kuongelea ndoa kitambo, akisema kahamasishwa na Princess of Duchess Meghan Markle. Kwa hiyo anakaribisha wakaka wanao ona wanamfaa, (kama program itafanikiwa)
Then at the end, atachagua ataemfaa kama atampenda.
Hope this will work in Tanzania, where individuals with this kind of confidence are rare.
She has the guts!
View attachment 834186
Meghan is Duchess of Sussex. Not Princess of Duchess.
Hahahaa. Funny though.....
Meghan is Duchess of Sussex. Not Princess of Duchess.
Hahahaa. Funny though.
Kuhusu bacholerette, uhusiano wa Meghan na program kama hiyo ni upi?
Ila in Tanzania she will be judged mightily.
Jamii ya Kitanzania bado ni ignorant na conservative sana.
Maybe I should one-up her and go start The Bachelor....
Exactly:This I call hustling. π