Bachelorette Shyrose Bhanji

Bachelorette Shyrose Bhanji

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7,467
Reaction score
13,026
34901528_2129625983980121_6267621508487577600_n.jpg
FB_IMG_1500318086059.jpg

Mdada Shyrose naona anataka ku Introduce program ya Bachelorette, ambayo ni maarufu na hurushwa sehemu nyingine hapa duniani. Ni program ambayo wakaka hujitokeza na kujieleza kwa nini wanafaa kumuoa mdada fulani, na mwisho mdada huchagua mwanaume anae ona anafaa.

Shyrose mwenyewe alianza kuongelea ndoa kitambo, akisema kahamasishwa na Duchess of Sussex Princess Meghan. Kwa hiyo anakaribisha wakaka wanao ona wanamfaa, (kama program itafanikiwa)
Then at the end, atachagua ataemfaa kama atampenda.

Hope this will work in Tanzania, where individuals with this kind of confidence are rare.
She has the guts!

shyrose msaada.JPG
 
Wewe huna hizo confidence na hizo guts with big iron balls..?! [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Daah vyuma vya Magu sio mchezo,kutoka Mwandishi wa Rais(enzi za mkapa) kwenda kua bosd wa PR NMB,then ubunge wa E/Africa(na hapo jina lake lilipoletwa Kwny kikao cha uteuzi kwa awamu nyingine Magu akasema tena huyu sitaki kumsikia kabisaa hahah) then kuka kwny kuanzisha Bachelorette sio.

Anyway she got balls,maisha lazima yaendelee nje ya system.
 
This I call hustling. 😀
 
View attachment 834182View attachment 834183

Mdada Shyrose naona anataka ku Introduce program ya Bachelorette, ambayo ni maarufu na hurushwa sehemu nyingine hapa duniani. Ni program ambayo wakaka hujitokeza na kujieleza kwa nini wanafaa kumuoa mdada fulani, na mwisho mdada huchagua mwanaume anae ona anafaa.

Shyrose mwenyewe alianza kuongelea ndoa kitambo, akisema kahamasishwa na Princess of Duchess Meghan Markle. Kwa hiyo anakaribisha wakaka wanao ona wanamfaa, (kama program itafanikiwa)
Then at the end, atachagua ataemfaa kama atampenda.

Hope this will work in Tanzania, where individuals with this kind of confidence are rare.
She has the guts!

View attachment 834186

Meghan is Duchess of Sussex. Not Princess of Duchess.

Hahahaa. Funny though.

Kuhusu bacholerette, uhusiano wa Meghan na program kama hiyo ni upi?

Ila in Tanzania she will be judged mightily.

Jamii ya Kitanzania bado ni ignorant na conservative sana.

Maybe I should one-up her and go start The Bachelor....
 
Bachelorette na Meghan.
Inavyoonekana, she didn't care much about marriage mpaka majuzi Meghan alivyoolewa, she got inspired.

Na ndio akaanza kuongelea kuhusu ndoa.
Halafu sasa ndo amekuja na hii idea ya kuwa Bachelorette, and of course she wants to make it profitable by having the whole Production.

And you're right, she's going to be judged mightly in Tanzania.

..Starting a Bachelor?!, you should Aiseeh! 😀
 
Back
Top Bottom