Life goes on,hata akiuza njugu sio mbaya...Daah vyuma vya Magu sio mchezo,kutoka Mwandishi wa Rais(enzi za mkapa) kwenda kua bosd wa PR NMB,then ubunge wa E/Africa(na hapo jina lake lilipoletwa Kwny kikao cha uteuzi kwa awamu nyingine Magu akasema tena huyu sitaki kumsikia kabisaa hahah) then kuka kwny kuanzisha Bachelorette sio.
Anyway she got balls,maisha lazima yaendelee nje ya system.
Ndio maana kaanzisha hio kitu,mjitokeze kwa wingi.Huyu Dada Mi nampenda sana kwa kweli,
[emoji106]Masikini huwa hawafanikiwi kwa kuwa wanaogopa kujaribu!
Ohooooo!!!Usifanye masiala na upweke.
Achilia mbali NMB mpaka City Water kabla ya Lowasa kuivunja na kuwa DAWASA...huyo dada ni MPAMBANAJI hivyo sio wakubeza maana wangapi wamepitia kama yeye wakati wengine system ikiwatema tu kidogo wanatepetaDaah vyuma vya Magu sio mchezo,kutoka Mwandishi wa Rais(enzi za mkapa) kwenda kua bosd wa PR NMB,then ubunge wa E/Africa(na hapo jina lake lilipoletwa Kwny kikao cha uteuzi kwa awamu nyingine Magu akasema tena huyu sitaki kumsikia kabisaa hahah) then kuka kwny kuanzisha Bachelorette sio.
Anyway she got balls,maisha lazima yaendelee nje ya system.
Hiyo program sijui kama itakua na uhai,claim kubwa itakuwa ni MAADILI....MAADILI....View attachment 834182View attachment 834183
Mdada Shyrose naona anataka ku Introduce program ya Bachelorette, ambayo ni maarufu na hurushwa sehemu nyingine hapa duniani. Ni program ambayo wakaka hujitokeza na kujieleza kwa nini wanafaa kumuoa mdada fulani, na mwisho mdada huchagua mwanaume anae ona anafaa.
Shyrose mwenyewe alianza kuongelea ndoa kitambo, akisema kahamasishwa na Duchess of Sussex Princess Meghan. Kwa hiyo anakaribisha wakaka wanao ona wanamfaa, (kama program itafanikiwa)
Then at the end, atachagua ataemfaa kama atampenda.
Hope this will work in Tanzania, where individuals with this kind of confidence are rare.
She has the guts!
View attachment 834186
They are there but I don't think they will line up for the show.Why tho!, nimeona kiasi statements kama hizi kuhusu washiriki.
Does this mean there's none Eligible Bachelors who can be potential husbands in Tanzania?!