Bachelorette Shyrose Bhanji

Bachelorette Shyrose Bhanji

Kuna Show km "Bibi Bomba" ,mwanzo ilikua km inaweza kosa washiriki ,lkn ghafla ikawa na washiriki na watu wakaipenda ,hata hii inawezekana ikafanya vzr ,ila pia wakosoaji hawatakosekana

Ni namna tu atakavyoiandaa,maana kwa inavyoonekana ni km "Reality Show" Fulani hivi
 
Sisi tunajishauaga sana kwenye mwamvuli wa maadili. Itakua na watazamaji wengi ila guests watakua wanasakamwa sana na waty wa maadili.

Eti tunajishaua....lol
Ndo hapo sasa. Hata yeye mwenyewe sintashangaa akaaitwa majina yote chini ya jua, wakati waitaji watakuwa wa kwanza ku tune in, na Show ikawa a Hit.

Can't wait, and I wish her the Best kwa kweli!
 
Men are diamonds,hata ukimtaka mdada akakutolea mbavuni, confidence yako inatakiwa ipande quadraply,hata ukimsikia mdada anakandia Kua ooh sitaki ndoa,anakuongopea na kuzuga tuu ila moyoni analia,leta pozi Tu Ila kuna siku utamtafuta mwanaume alipo Kwa gharama yoyote ile
 
Eti tunajishaua....lol
Ndo hapo sasa. Hata yeye mwenyewe sintashangaa akaaitwa majina yote chini ya jua, wakati waitaji watakuwa wa kwanza ku tune in, na Show ikawa a Hit.

Can't wait, and I wish her the Best kwa kweli!
Sisi tunajishauaga sana kwenye mwamvuli wa maadili. Itakua na watazamaji wengi ila guests watakua wanasakamwa sana na waty wa maadili.
Wa bongo nanyowajua hii show ita kick balaa ,iwe kwa kutazamwa au kusemwa ,labda mamlaka ipige stop
 
Kuna Show km "Bibi Bomba" ,mwanzo ilikua km inaweza kosa washiriki ,lkn ghafla ikawa na washiriki na watu wakaipenda ,hata hii inawezekana ikafanya vzr ,ila pia wakosoaji hawatakosekana

Ni namna tu atakavyoiandaa,maana kwa inavyoonekana ni km "Reality Show" Fulani hivi
Nimekusalimia huoni salamu au
 
Meghan is Duchess of Sussex. Not Princess of Duchess.

Hahahaa. Funny though.

Kuhusu bacholerette, uhusiano wa Meghan na program kama hiyo ni upi?

Ila in Tanzania she will be judged mightily.

Jamii ya Kitanzania bado ni ignorant na conservative sana.

Maybe I should one-up her and go start The Bachelor....
Wacha kusema wtz ni ignorant....
kwa kuwa ni wazito ku cop na tamaduni za kizungu......
hayo mambo sio sehemu ya utamaduni wao
don't look us down shnnz....
 
itakuwa mpende vyeupe alikaziwa ikabidi amtose..pathetic
 
Meghan is Duchess of Sussex. Not Princess of Duchess.

Hahahaa. Funny though.

Kuhusu bacholerette, uhusiano wa Meghan na program kama hiyo ni upi?

Ila in Tanzania she will be judged mightily.

Jamii ya Kitanzania bado ni ignorant na conservative sana.

Maybe I should one-up her and go start The Bachelor....
Hhh princess of duchess[emoji23] .. kibongobongo hii kitu yake itaonekana sio
 
Back
Top Bottom