Bachelorette Shyrose Bhanji

Bachelorette Shyrose Bhanji

The picture is becoming more clear now. Guess they need to check out JF for 'RESEARCH'
Before they do anything...lol!
But serioulsly!...

Umepiga mulemule girl.
If they can ban a 3-5 minutes song under "Sio Maadili yetu"
What about a, half hour- one hour show, with lots of Romance activities in it!. 😀

Lakini ni hivyo tu sema ndio Utamaduni
Like, what's wrong with looking at someone in the eyes if you like them, and just talking to them??!!!
Again, ni hivyo tu, sema ndio Utamaduni..
For sure in all churches and mosque this will be cursed before even BASATA show up their nails.
She can think of some thing else but not this Bachelorette thing. Otherwise she better go to naija or SA.
 
Hahhahahahah karibu Sana!!
With the brains I see in your writings, wouldn't mind share a grandson/granddaughter with your mother.
Woooooooow thank you, I promise hutajuta kua na mkwe kama mimi..
Njoo jukwaa la wawili tuyajenge
 
Meghan is Duchess of Sussex. Not Princess of Duchess.

Hahahaa. Funny though.

Kuhusu bacholerette, uhusiano wa Meghan na program kama hiyo ni upi?

Ila in Tanzania she will be judged mightily.

Jamii ya Kitanzania bado ni ignorant na conservative sana.

Maybe I should one-up her and go start The Bachelor....
Hebu nielezee ndugu maana ya hiyo Duchess of sussex
 
Kwan ana nin na huo uzee wake ajione so spesho, Yule jafarai yuko wap.
 
Bachelorette in Tanzania? Vile vionjo vya swimming pool, massage parlour vitakuwepo? Ajiandae kupambana na BAS**TA sijui tisiaraei.
By the way, kamshono ka gauni nimekapenda. Acha nimpelekee picha fundi Juma
 
Bachelorette in Tanzania? Vile vionjo vya swimming pool, massage parlour vitakuwepo? Ajiandae kupambana na BAS**TA sijui tisiaraei.
By the way, kamshono ka gauni nimekapenda. Acha nimpelekee picha fundi Juma


Mh!, Scenes za ndani ya swimming pool na massage parlours kabisa, hehehe!
Venine wewe that vocab is not in BASATA' s dictionary. 😶
 
Back
Top Bottom