Ndiyo uritukwaza,= ulitukwaza.yeah...dah. Wapendwa baada ya kupata Ban siku kadhaa zilizopita kutokana na utovu wa nidhamu ningependa kuomba radhi kwa niriowakwaza.
Nmejifunza kutokana na makosa
Napia najua mrinimiss sana marafika zangu nami nimewamiss sana pia
Naomba kuwasilisha
Kiungo mkongwe Sergio 5
ulitukwanza = ulitukwazaNdiyo uritukwaza,= ulitukwanza.
Ndiyo turikumiss = tulikumiss
Marafika = marafiki.
Karibu sana . usirudie kosa
Aliwakwanza??Ndiyo uritukwaza,= ulitukwanza.
Ndiyo turikumiss = tulikumiss
Marafika = marafiki.
Karibu sana . usirudie kosa
Unaona sasa unavyojitafutia laana mchana kweupe??Babu unanitafutia laana unitandike bakora?
Lazima nikutandike ngumi
Kamoo mwalimu...
Hahahhahaha Marahabaulitukwanza = ulitukwaza
Shkamoo mwalimu...
Ameacha siku hizi...Duh..na skendo yake ya weed vp?
Basi mungu mkubwaAmeacha siku hizi...
Kitambi cha kikeNani kasema mimba hio,kitambi bana usiwe unakunywa chai hivi inalevyaView attachment 560889