Back to back,Hamisa Mobetto na yeye kesho kuibuka mjengoni

Back to back,Hamisa Mobetto na yeye kesho kuibuka mjengoni

Akijitokeza huenda akajiharibia zaidi Christiano Ronaldo alizaa na mwanamke asiyejulikana na alilipwa pesa ndefu mzaaji ametulia hadi leo maisha yanaendelea vizur tu wazungu wametuacha mbali mno ingekuwa bongo kwa utajir ule wa ronaldo na umaarufu alionao mtu kama hamisa unamwambia tulia walahi anakuua. Ronaldo junior anashinda sana bibi yake + baba yake wanafurahia maisha
sidhan kama Ronaldo aliwahi kumkana mwanaye hadharani wala kumtusi baby mama wake
 
Hapa kuna watu kesho hawatafanya kazi kabisa kwa muda wa masaa manne kama ilivyokuwa leo.

Na hii ndio Tanzania nchi ya wapenda udaku.
Hapo ndiyo watamuudhi mkulu. Yaani hours kumsikiliza Diamond wakati wamekuwa wavivu kumsikiliza yeye. Teh teh teh
 
Kwahiyo wanataka na kesho tutoroke kazini...

!??
 
Ningemshauri Huyu binti achill....

Haina maana.
 
Nataka kusikia Hamisa akisema " Daimond kaniambia mbunye yangu tamu kuliko ya Zari ndio maana ananipenda mm Hamisa na akanipa mimba" hapoo sasa
1ea60c0cf5b976f5d09eb79996bd0b10.jpg
 
Ila diamond kafanya jambo lisilotegemewa maana watu walikuwa wamejiandaa akane basi wamvamie.
Sasa mwenyewe kathibitisha labda hamisa aanze rusha meseji walizokuwa wanachat maana akipost picha na video hazina maana tena.
 
Back
Top Bottom