Back to back,Hamisa Mobetto na yeye kesho kuibuka mjengoni

Back to back,Hamisa Mobetto na yeye kesho kuibuka mjengoni

Sasa huyo zari ana tofauti gani na hamisa wote ni gold diggers !

Tena bora hamisa hana limkanda la kujidildo, but Zari na huo msitu? Aibuu asee!

Hayo ya kwake diamond nani anamfaa ila kwa kiasi fulani kaonesha kumjali zaidi zari aombe lisibume tu hadi alimfikia hatua ya kumuita hamisa bitch ni dharau
 
Kesho wengine na mie tunamsikiliza JPM akiwa anahutubia..

Tutawasomaaaaaaaa tukipata muda.
 
Watu washaingizwa mjini na msaga
 
kama mkuu wa nchi mwenyewe alisema anapenda kuwasikiliza "shirawadu" ss n akina nan bas 2spende "ushirawadu"
 
Hapo km anasema "khaaa we Hamisa we utaniua mwenzio mweeh"😀😀😀
 
Back
Top Bottom