Back to EPL campaign: Cancel Soka La Bongo

Back to EPL campaign: Cancel Soka La Bongo

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Ni muda muafaka sasa wa kuachana na soka la bongo na kurejea kwenye soka la Ulaya ( EPL, La Liga etc)


Miaka ya tisini soka la bongo lilikuwa on fire.

Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa Simba na Yanga kweli kweli.

Siku ya mechi basi Dar yote ilikuwa ni njano na nyekundu.

Kutokana na ubabaishaji wa FAT na ujio wa Ligi ya Uingereza watu wakaanza kuachana na soka la bongo na kupenda soka la Uingereza.

Ilifika kipindi, kushabikia Simba na Yanga ilionekana aina Fulani hivi ya ushamba

Watu walikuwa ni Arsenal, Man U na bongo ilikuwa ni Bongo Fleva.

Nilio soma nao miaka ya 2000s mwishoni hadi 2010s mwanzoni sikuwahi kujua nani alikua Yanga na nani alikua Simba kwa sababu eidha walikuwa Arsenal, Man U or something.

But now hadi Mjumbe wangu najua ni shabiki wa timu gani Kati ya Simba na Yanga


Fast forward Haji Manara anaingia kwenye Picha.

Haji Manara aliirudisha tena hadhi ya soka la bongo watu wakaanza tena kufatilia kwa ukaribu soka la bongo.


Now TFF wameona wa bongo wanapenda timu zao wameanza kuleta tena udwanzi.


Sisi mashabiki ndio tunawapa nguvu.

Hivi unadhani kama tungekuwa hatufuatilii soka la bongo kihivyo yote hayo yangekuwa yanatokea?


Boycott soka la bongo rudi zako EPL na La Liga.

Soka la bongo ni ubabaishaji mtupu.

Simba na Yanga are practically operating like " WITCHES COVENS" ( Vilinge vya kichawi)


Wanazidiana makafara tu na uchawi.

Wewe shabiki wa Simba au Yanga jua una shabikia" Kilinge cha kichawi "



Hiyo energy unayo I channel kwenye Simba au Yanga Bora unge I channel kwenye mambo yako mengine ya msingi ungepata faida.

Ona sasa kama Leo umekuwa disappointed kwa sababu energy yako umeichannell kwenye upuuzi wa soka la bongo.

Ur abusing your own field of energy


Mwafrika hana uwezo wa kiakili wa kusimamia jambo lolote lile la Kitaasisi kiuweledi.

Ubongo wa mtu mweusi haujawa wired kuwa na uwezo wa kusimamia jambo lolote lile kiuweledi.

Ndio maana huwa napinga kulipa pesa yangu mtoto akasome shule ya private ambayo uongozi wake unaundwa na wa Afrika au watu weusi...
 
Back
Top Bottom