Back to square one

Back to square one

Nyani Ngabu kila lugha ina wazee wanailinda hiyo lugha isije badilika kabisa na kuwa na lugha ingine
nna uhakika kamusi za UK zina tofauti na kamusi za USA

kwa vyovyote vile watu wa UK kuna baadhi ya misamiati watakuambia ya kwao ndo 'sahihi'
hata kama yaliyo popular ni ya USA......

Unachozungumzia wewe ni lahaja, ambayo ni tofauti katika matamshi, maumbo na matumizi ya maneno katika maeneo mbalimbali kwa lugha yenye asili moja.

Lahaja ni jambo la kawaida sana na hata kwenye Kiswahili lipo. Ushawasikia Wamvita au Wazanzibari wakitamka neno 'hospitali'?

Na tofauti kati ya Kiingereza cha Uingereza na kile Kiingereza cha Marekani inajulikana wazi na inakubalika na ndo maana kamusi nyingi za Kiingereza huwa zinatoa maelezo ya tofauti ya matumizi, tahajia, au matamshi kwa yale maneno yaliyo na tofauti baina ya hizo lahaja mbili.

Hata Kiingereza kitumikacho Australia, New Zealand, na Canada nacho kina tofauti zake na kile kitumikacho Uingereza na Marekani.

Hata Kireno kinachotumika Ureno na kile kinachotumika Brasil kiko tofauti na tofauti yake ni ya kilahaja.

Vivyo hivyo, Kihispania kitumikacho Hispania na kile kitumikacho Mexico kina tofauti zake.

Na wala tusiende mbali, tubaki hapa hapa Tanzania. Hivi unajua kuwa Kisukuma kitumikacho Shinyanga, Simiyu, na Mwanza kina tofauti zake?

Wewe kwa mfano waweza usimjue Mnyantuzu akiongea Kisukuma lakini mimi nikimsikia tu najua moja kwa moja huyu anatokea Bariadi.

Kwa hiyo lahaja ni jambo la kawaida kabisa katika lugha.
 
Ifike tyme bongo kuwe na system ukitupia plate number google au website maalum unapata who's owner of the cars some details ingekua safi sana. Ila Kasinde unaGenye amna lolote
 
Last edited by a moderator:
Methali ni 'mjaa asili haachi asili'

sio jasiri
Inawezekana zote mbili zipo japokuwa hiyo ya jasiri mimi huwa nashindwa kuielewa kwa kweli. Angalia mifano hapa chini.

Pilipili usiyoila yakuwashiani?
Pilipili ya shamba yakuwashiani?

Juhudi si pato
Juhudi haiondoi kudura/kudra
Jitihada haiondoi kudura/kudra

Wema hauozi
Hisani haiozi

Na nyingine nyingi.
 
Ifike tyme bongo kuwe na system ukitupia plate number google au website maalum unapata who's owner of the cars some details ingekua safi sana.

Kuna nchi ina hiyo kitu? I can think of a million ways in which that system jeopardizes the security of people.
 
Kweli jasiri huachi asili, Kasinde is horny and ready to find somebody to take care of Kasinde's special needs. Good luck and all the best.

Kasinde
 
Last edited by a moderator:
Ifike tyme bongo kuwe na system ukitupia plate number google au website maalum unapata who's owner of the cars some details ingekua safi sana. Ila Kasinde unaGenye amna lolote

Hewala bwana niseme nini mie nyege ndo afya yenyewe hiyo, usipokuwa nazo unaitwa msagaji....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom