Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Ningeshangaa sana kama nisingekukuta humuAje aje mzeiya naona umevunga kushusha nondo za kiania nasi tushuke zetu.
ukisema bad boys kidogo naweza kukubaliana na maandishi yako!vijana bhana "gangsters na bad boys"
ever done a drive by shooting!?!?
are y'all in gangs e.g bloods or clips!?!?
are you slanging lello!?!?
being a gangster or a bad boy is doing all the illegal stuffs in the hood.
now which of y'all are any of this?
Hawa wame define vizuri zaidi.ukisema bad boys kidogo naweza kukubaliana na maandishi yako!
kwani maana ya gangster ni ipi..?
sawaHawa wame define vizuri zaidi.
Urban Dictionary: Gangster
Hapa nilikuwa nakusubiri tu tufanye yetuNingeshangaa sana kama nisingekukuta humu