Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
Sijui ni ile air condition ambayo niliiswitch mpaka 16°c, sijui ni harufu mbaya ya sex maana ilikuwa kali sana mpaka ilinitoa mchezoni, sijui ni hali ya hewa.
Maana siku hiyo nakumbuka kulikuwa na kamvua, sijui ni yale mashuka niliyolalia au vipi, yaani sielewi yaani toka nimetoka kule hotelini nahisi uchovu uchovu, homa homa, mafua mafua, napiga chafya na kukohoa kuliko maelezo nimeeenda kupima sina ugonjwa nimepewa antibiotics nasikilizia.
Wajuzi wa haya mambo shida itakuwa nini? Naomba mnipe tips