Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nshajielezea jamani
Jinyonge yaishe!
Wewe huyo mume atakuzeesha huku bado mdogo
mtafutie kidumu yaishe lol
kama heading inavyowakilisha nawasilisha
Tuko beach tunasikiliza reggae kwa radio ya gari nasikia kadedicate lovely song kwa mwanamke mmoja nauliza eti ananiambia huyo ni mwarabu alikua anapenda taarab ye ndo amemfanya apende raggae eti wako group moja BBM wakati mi ndo nimepigika when he lost his name kama verse 1 ya wimbo inavyosema lakini cjawahi kupata dedication nasikia wivu mbaya
kuna mtu juzi tu kaniambia kwao mtu akisema ana bad mood
basi huwa wanamuona ana roho mbaya
bad mood= roho mbaya.....lol
dah wanaume wemgine bana....wanachosha kweli kweli
Mbona nshajielezea jamani
pole eversmiling
Haya madude pasua kichwa mwaya poyeeee.....
Kunguru washapora Samaki wa mtu..Jamani the boss cyo hivyo basi tu haya mapenzi yananitatiza