mkuu nikweli clouds fm wame tangaza kua yanga wamenyang'anywa point 3 na magoli3 kama wamekosea niwao watangazaji ila nikweli wametanganza mwishoni kabisa mwa kipindi chao cha michezo,nimesikia wala sijasimuliwa.sitaki kuamini kama leo ni wajingaday,nimesikiliza kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.namuomba mod aipeleke híi kwenye jokes
Hizi ndiyo dalili za ubabaishaji, yaani badala ya kutupa official Link ya TFF source inakuwa ni hivi viblog uchwara!!....hii ni nchi ya ajabu sana hapa hata sijui msemaji wa TFF ni nini kazi yake.ili uamini nenda kasome Shaffih Dauda in Sports.
Mkuu na hii sheria ya mpira wa mguu huifahamu?!kawaida timu inapobainika imefanya kosa juu ya mchezo husika timu pinzani hupewa point 3,na magoli 3,ndio hivyo dunia nzim a,hata kama mlitoka sare ya bila kufungana sheria ndio inasema hivyo na cio tenga.Hizi habari nyingine za kipuuzi siyo hadhi ya JF, Yanga iliifunga Coastal goli 1 tu sasa hayo magoli matatu yanatoka wapi? this thread is total nonsense.
Kuwa serious kaka!uliza mtu yeyote aliyekuwa makini kusikiliza kipindi cha michezo clouds fm,hii iliingia kama habari mahususi,atakwambia,ila sio vibaya kujipa moyo.sitaki kuamini kama leo ni wajingaday,nimesikiliza kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.namuomba mod aipeleke híi kwenye jokes
haiwezekani yanga kupokwa point 3.kamanda T alishawaruhu kumtumia
Kuwa serious kaka!uliza mtu yeyote aliyekuwa makini kusikiliza kipindi cha michezo clouds fm,hii iliingia kama habari mahususi,atakwambia,ila sio vibaya kujipa moyo.sitaki kuamini kama leo ni wajingaday,nimesikiliza kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.namuomba mod aipeleke híi kwenye jokes
Hizi ndiyo dalili za ubabaishaji, yaani badala ya kutupa official Link ya TFF source inakuwa ni hivi viblog uchwara!!....hii ni nchi ya ajabu sana hapa hata sijui msemaji wa TFF ni nini kazi yake.
Unajua Yanga hawakuwa na sababu ya kuwachezesha wachezaji wote ambao walishapewa adhabu ili kuwa safe lakini vile vile inawezekana walipata barua ya kuwachezesha hata huyo Cannavaro kama Tibaigana alizingatia kwamba alipewa kadi kimakosa kwani aliyempiga refa si yeye ni Mwasika hivyo kwa kuzingatia hilo na kama ndiyo ilikuwa kosa lilopelekea cannavaro kupewa kadi nyekundu atalizungumzia hilo kesho kwa kumuadhibu refa na kuipeleka kadi nyekundu inapositahili na refa naye kupewa kibano chake.Otherwise Yanga watakuwa wamechemsha na hawakuwa waangalifu.Tusubiri tuone kipi kitajiri kwenye Kamati ya Nidhamu A.K.A Kamati ya Tibaigana.Tibaigana ndie kawahujumu Yanga, walidhani mwenzao kumbe adui yao pole Yanga ccm
Hizi habari nyingine za kipuuzi siyo hadhi ya JF, Yanga iliifunga Coastal goli 1 tu sasa hayo magoli matatu yanatoka wapi? this thread is total nonsense.
Hyu si anaendekeza unazi tu?ili uamini nenda kasome Shaffih Dauda in Sports.
Hizi ndiyo dalili za ubabaishaji, yaani badala ya kutupa official Link ya TFF source inakuwa ni hivi viblog uchwara!!....hii ni nchi ya ajabu sana hapa hata sijui msemaji wa TFF ni nini kazi yake.
White wizard.Sports extra gani hiyo?, au ya kenya nimesikiliza hicho kipindi mwanzo hadi mwisho sijaskia hicho kitu.waombe radhi wanajf!