Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
7,841
Reaction score
17,491
Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada Irene 'Sheila' Uwoya ,

Leo ameamua kumtolea povu mtangazaji 'Mmbea' Wa Tv na Radio Clouds Soudy brown ambaye amekuwa akimuandama mara kwa mara dogojanja kwa suala la ndoa yake na Mwanadada Uwoya kwakile kinachoonekana Tofauti ya umri kati ya wanandoa hao,

Baada ya kuona Soudy brown anavuka mipaka Dogojanja ameamua kumtolea povu la wiki Soudy huku akipost picha inayomuonesha Soudy brown sura yake halisi bila ya mask, Naona Badamu banazidi Kumwagikaaaaa.
 

Kwani Wewe ulikuwa humjui Kiuhalisia huyo Mtangazaji Soud Brown mpaka leo hii ' Nyago ' lake limewekwa hadharani hivi na Dogo Janja?
 
Duh hii picha ya mwaka gani aise
Hii ndoa Me bado naona ni usanii tu haifiki mbali tutaanza kusikia vituko

Miaka michache iliyopita Mkuu, mcheki janjaro utaweza kukadilia ilikuwa mwaka gani hapo.
 
Kwani na Yeye alipofuatwa fuatwa na Soud Brown ilikuwa private? Soud Brown kamuumbua na Yeye Dogo Janja nae kamaliza kabisa shughuli hivyo sasa ngoma ' droo ' na labda Soud Brown atabadilika na akili itamkaa sawa.
Hakomi. Kaka anapenda umbea yule jamani.
 
Tumbo tumbo tumbooooo, tumbo linatesa watu sana, inabidi ufanye chochote ili tu lisikose msosi. Piga picha kidume kufanya kazi ya umbeya!!! lazima ujichetua kama vile akili zimepungua mukichwa....
 
Kwani Wewe ulikuwa humjui Kiuhalisia huyo Mtangazaji Soud Brown mpaka leo hii ' Nyago ' lake limewekwa hadharani hivi na Dogo Janja?

Namjua Soudy brown kitambo mkuu, hii na kwa wenzetu wasiomfahamu, uwe na mchana mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…