Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Kwani na Yeye alipofuatwa fuatwa na Soud Brown ilikuwa private? Soud Brown kamuumbua na Yeye Dogo Janja nae kamaliza kabisa shughuli hivyo sasa ngoma ' droo ' na labda Soud Brown atabadilika na akili itamkaa sawa.
Mnajuana wenyewe HiZi habari sinaga utaalam wa kuzichambua ila sioni kama dogo janja nafanya uanaume
 
Why Panic.. Soudy anafanya Gossiping na kipindi chake inajulikana kabisa ni gossips nashangaa wanaopanic
Ukishajiitaa/ukishaingia kwenye maisha ya usuper star hizo ndio gharama zake... watulie tu Soudy aendelee kuleta Ubuyu!
 
Kwani na Yeye alipofuatwa fuatwa na Soud Brown ilikuwa private? Soud Brown kamuumbua na Yeye Dogo Janja nae kamaliza kabisa shughuli hivyo sasa ngoma ' droo ' na labda Soud Brown atabadilika na akili itamkaa sawa.

Huyu jamaa hakomagi, mi nilijua baada ya issue ya Gwajima & Bashite ataacha Umbea wake ila naona ndo anazidi. Ndo kazi yake inayompa ugali wake wa kila siku.
 
Licha ya kuwa ni kazi inayompatia ugali wa kila siku ila sudy brown ni mmbea wa asili anakipaji cha umbea na anaupenda sanaa[emoji23]
Mbea mno. Yani anaonekana alivyokua anasoma kila siku ya ijumaa anasutwa yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumbo tumbo tumbooooo, tumbo linatesa watu sana, inabidi ufanye chochote ili tu lisikose msosi. Piga picha kidume kufanya kazi ya umbeya!!! lazima ujichetua kama vile akili zimepungua mukichwa....

Licha ya Tumbo, sudy brown anapenda tu umbea, anaifurahia kazi yake.
 
SURA YAKE HUWEZIJUA KUMBE NI MMBEYA HIVYO
QUOTE="Mla Bata, post: 24314243, member: 121173"]Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada Irene 'Sheila' Uwoya ,

Leo ameamua kumtolea povu mtangazaji 'Mmbea' Wa Tv na Radio Clouds Soudy brown ambaye amekuwa akimuandama mara kwa mara dogojanja kwa suala la ndoa yake na Mwanadada Uwoya kwakile kinachoonekana Tofauti ya umri kati ya wanandoa hao,

Baada ya kuona Soudy brown anavuka mipaka Dogojanja ameamua kumtolea povu la wiki Soudy huku akipost picha inayomuonesha Soudy brown sura yake halisi bila ya mask, Naona Badamu banazidi Kumwagikaaaaa.
83879d03a28157c358fb80718b325b42.jpg
[/QUOTE]
 
Ila Mkuu usisahau lakini kwamba kila Mtanzania ni ' mbea ' sema tu Soud Brown ametuzidi kidogo tu kwa Kiwango. 95% ya maisha ya Kitanzania hayaendi bila ' umbea ' Mkuu.
Kweli mkuu maisha hayaendi bila umbea. Ila sudi kazidi jamani. Anapenda kufukunyua na visivyo fukunyuliwa. Ndio maana siku mama yake wema sepetu alimshushia kichambo
 
Back
Top Bottom