Mnajuana wenyewe HiZi habari sinaga utaalam wa kuzichambua ila sioni kama dogo janja nafanya uanaumeKwani na Yeye alipofuatwa fuatwa na Soud Brown ilikuwa private? Soud Brown kamuumbua na Yeye Dogo Janja nae kamaliza kabisa shughuli hivyo sasa ngoma ' droo ' na labda Soud Brown atabadilika na akili itamkaa sawa.
Wana hip hop hawako hivyo kashavunja miikoNaona dogo limemfikaaa hapaaaa kaona agawe ubuyu bure tu.
Hapana hatujuani jamani
Kwani na Yeye alipofuatwa fuatwa na Soud Brown ilikuwa private? Soud Brown kamuumbua na Yeye Dogo Janja nae kamaliza kabisa shughuli hivyo sasa ngoma ' droo ' na labda Soud Brown atabadilika na akili itamkaa sawa.
Soudy brown hana effect yoyote ya kupigwa/kutopigwa nyimbo za dogo janja.Naona Dogo janja ameamua nyimbo zake kutopigwa na clouds Sasa!
Promo ambayo huwa wanamfanyia Sasa ndo itakuwa mwisho......
time will tell
Wapenda nisingizia weye.Mambo yako c mchezo
Wapenda nisingizia weye.
I miss you too [emoji39][emoji39][emoji39]
Hakomi. Kaka anapenda umbea yule jamani.
Mbea mno. Yani anaonekana alivyokua anasoma kila siku ya ijumaa anasutwa yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Licha ya kuwa ni kazi inayompatia ugali wa kila siku ila sudy brown ni mmbea wa asili anakipaji cha umbea na anaupenda sanaa[emoji23]
Tumbo tumbo tumbooooo, tumbo linatesa watu sana, inabidi ufanye chochote ili tu lisikose msosi. Piga picha kidume kufanya kazi ya umbeya!!! lazima ujichetua kama vile akili zimepungua mukichwa....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufata PMSasa nmeamini ww c mtu wa mchezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufata PM
Kweli mkuu maisha hayaendi bila umbea. Ila sudi kazidi jamani. Anapenda kufukunyua na visivyo fukunyuliwa. Ndio maana siku mama yake wema sepetu alimshushia kichamboIla Mkuu usisahau lakini kwamba kila Mtanzania ni ' mbea ' sema tu Soud Brown ametuzidi kidogo tu kwa Kiwango. 95% ya maisha ya Kitanzania hayaendi bila ' umbea ' Mkuu.