Jamaa anafanya mambo ya kimbea
[emoji2] [emoji2]Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada Irene 'Sheila' Uwoya ,
Leo ameamua kumtolea povu mtangazaji 'Mmbea' Wa Tv na Radio Clouds Soudy brown ambaye amekuwa akimuandama mara kwa mara dogojanja kwa suala la ndoa yake na Mwanadada Uwoya kwakile kinachoonekana Tofauti ya umri kati ya wanandoa hao,
Baada ya kuona Soudy brown anavuka mipaka Dogojanja ameamua kumtolea povu la wiki Soudy huku akipost picha inayomuonesha Soudy brown sura yake halisi bila ya mask, Naona Badamu banazidi Kumwagikaaaaa.
Sawa Ni kweli Sasa hivi utitiri wa redio ila bado nafikiri kama ni msikilizaji wa redio bado utakubaliana na Mimi kwamba clouds bado wako juu!
Mimi mwenyewe siungi mkono redio moja kucontrol future ya msanii ila kibongo bongo bado sana!
Ni mwaka tu umepita tangu ruby wampoteze kulikuwa na radio nyingi ila ndio hivyo!
Rama D amekaaa we ila amerudi!
Anyway lengo langu sio kuwapa kichwa clouds na kuwafanya wasanii wajione wapo chini!
Ila ni ukweli usiopingika Dogo janja hana fan base kubwa kiasi cha kutocare mahusiano mazuri Na hao akina soudy(clouds)
Ni mtazamo tu lakini nafikiri watachukulia poa tu mkuu
Namimi naliona hilo, unajua kwa sasa kipindi cha kina Soudy ni kati ya vipindi vinavyowapatia mpunga mrefu Clouds Media, na kwenye kipindi cha Shilawadu Soudy ndio key player so ukiharibu brand yake unaweza affect hata mvuto/mapato ya kipindi hivyo sidhani kama Ruge anaweza furahia hii ishu, dogo aombe msamaha haraka lasivyo inaweza mcost
Kwani Wewe ulikuwa humjui Kiuhalisia huyo Mtangazaji Soud Brown mpaka leo hii ' Nyago ' lake limewekwa hadharani hivi na Dogo Janja?
Wadau walinibishia hapo juu!Sure mzee, na ukitaka kuamini hilo, dogo kashafuta hiyo post kwenye IG acc yake nadhani wakina Tale washamwambia.
vijana wa daasalaam hao....Jamaa anafanya mambo ya kimbea
Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada Irene 'Sheila' Uwoya ,
Leo ameamua kumtolea povu mtangazaji 'Mmbea' Wa Tv na Radio Clouds Soudy brown ambaye amekuwa akimuandama mara kwa mara dogojanja kwa suala la ndoa yake na Mwanadada Uwoya kwakile kinachoonekana Tofauti ya umri kati ya wanandoa hao,
Baada ya kuona Soudy brown anavuka mipaka Dogojanja ameamua kumtolea povu la wiki Soudy huku akipost picha inayomuonesha Soudy brown sura yake halisi bila ya mask, Naona Badamu banazidi Kumwagikaaaaa.
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,
Ha ha jinsia yake ni siriHivi warumi huwa ni ke Au Me ?
Ok mkuu Evelyn SaltHa ha jinsia yake ni siri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnawaonea sana wanaume wetu!Hicho kipindi anachofanya Sudi ilitakiwa kufanywa na wanawake, ila sawa anawawakilisha wanaume wa Dar
Wanajionea wenyewe wanashindwa kujitofautisha na nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnawaonea sana wanaume wetu!