Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Kama ndicho kipaji chake basi hana budi kukitumia ili asiende kuhukumiwa kwa uzembe N.a. muumba wake.
 
Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada Irene 'Sheila' Uwoya ,

Leo ameamua kumtolea povu mtangazaji 'Mmbea' Wa Tv na Radio Clouds Soudy brown ambaye amekuwa akimuandama mara kwa mara dogojanja kwa suala la ndoa yake na Mwanadada Uwoya kwakile kinachoonekana Tofauti ya umri kati ya wanandoa hao,

Baada ya kuona Soudy brown anavuka mipaka Dogojanja ameamua kumtolea povu la wiki Soudy huku akipost picha inayomuonesha Soudy brown sura yake halisi bila ya mask, Naona Badamu banazidi Kumwagikaaaaa.
83879d03a28157c358fb80718b325b42.jpg
[emoji2] [emoji2]
 
Sawa Ni kweli Sasa hivi utitiri wa redio ila bado nafikiri kama ni msikilizaji wa redio bado utakubaliana na Mimi kwamba clouds bado wako juu!

Mimi mwenyewe siungi mkono redio moja kucontrol future ya msanii ila kibongo bongo bado sana!
Ni mwaka tu umepita tangu ruby wampoteze kulikuwa na radio nyingi ila ndio hivyo!

Rama D amekaaa we ila amerudi!

Anyway lengo langu sio kuwapa kichwa clouds na kuwafanya wasanii wajione wapo chini!
Ila ni ukweli usiopingika Dogo janja hana fan base kubwa kiasi cha kutocare mahusiano mazuri Na hao akina soudy(clouds)

Ni mtazamo tu lakini nafikiri watachukulia poa tu mkuu

Sure mzee, na ukitaka kuamini hilo, dogo kashafuta hiyo post kwenye IG acc yake nadhani wakina Tale washamwambia.
 
Namimi naliona hilo, unajua kwa sasa kipindi cha kina Soudy ni kati ya vipindi vinavyowapatia mpunga mrefu Clouds Media, na kwenye kipindi cha Shilawadu Soudy ndio key player so ukiharibu brand yake unaweza affect hata mvuto/mapato ya kipindi hivyo sidhani kama Ruge anaweza furahia hii ishu, dogo aombe msamaha haraka lasivyo inaweza mcost

Hiyo post haijakaa hata lisaa mkuu, ameshaifuta uone nguvu ya kina Ruge
 
Sure mzee, na ukitaka kuamini hilo, dogo kashafuta hiyo post kwenye IG acc yake nadhani wakina Tale washamwambia.
Wadau walinibishia hapo juu!
Ila ni ukweli usiofichika soudy Na kile kipindi chake wanawaingizia clouds pesa ndefu sana ruge hawezi kubali msanii ambaye bado mdogo Dogo janja aharibu ile brand ya soudy!

Kumbuka walivyohangaika kurudisha kwenye peak wakati ule wa bashite
 
Yule Kijana mdogo kwenye Tasnia ya Bongo fleva Abdulazizi Chande 'Dogo janja' ambaye wiki kazaa zilizopita amejikaza ubongo na kuamua kufunga ndoa na Diva kwenye tasnia ya BongoMovie mwanadada Irene 'Sheila' Uwoya ,

Leo ameamua kumtolea povu mtangazaji 'Mmbea' Wa Tv na Radio Clouds Soudy brown ambaye amekuwa akimuandama mara kwa mara dogojanja kwa suala la ndoa yake na Mwanadada Uwoya kwakile kinachoonekana Tofauti ya umri kati ya wanandoa hao,

Baada ya kuona Soudy brown anavuka mipaka Dogojanja ameamua kumtolea povu la wiki Soudy huku akipost picha inayomuonesha Soudy brown sura yake halisi bila ya mask, Naona Badamu banazidi Kumwagikaaaaa.
83879d03a28157c358fb80718b325b42.jpg

Uandishi wa Janjaro ni mbaya sana.
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini ningependa kuongea ukweli kuwa UKRISTO SIO DINI YA HAKI, NDOMANA WAKRISTO WOOTE WAMELAANIWA, UKIWAANGALIA WAKRISTO WENGI USONI WANA SURA MBAYA KA MATAKO,

Kweli kabisa yani sura kama ya huyu mkuu hujakosea si wamuona
51b656a2d1c134f98d081c01b2a6df46.jpg
 
Back
Top Bottom