Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Badaaaaam Batamwagika, Dogo Janja amtolea uvivu Soudy Brown

Wadau walinibishia hapo juu!
Ila ni ukweli usiofichika soudy Na kile kipindi chake wanawaingizia clouds pesa ndefu sana ruge hawezi kubali msanii ambaye bado mdogo Dogo janja aharibu ile brand ya soudy!

Kumbuka walivyohangaika kurudisha kwenye peak wakati ule wa bashite

Words mzee.
 
mask ishakua kama mkia wa mbuzi, haisitiiri utupu wake tena
 
Wanajionea wenyewe wanashindwa kujitofautisha na nyie

''Aut Vincere Aut Mori''
Mkuu nakuona uko hapa kwenye jukwaa la kuwanadili wanaume wa dar es salaama japo unawaponda lakini mambo yao unayafuatilia.
Au ndiyo baniani mbaya kiatu chake dawa?
 
Of course, nadhani pupa na hasira pia zilichangia.


Hiyo haina hasira, Janjaro hapo ndio kajitahidi kiuandishi, kwa mtu aliyeishia form one hapo ni mwake tu. Iliwekwa screen shot ya Matonya humu aibu, afadhari ya Shilole.
 
[HASHTAG]#KLMY[/HASHTAG] hizi initials mbona kama tusi!!!?
 
Janjaro kapaniki haswaa hasira ikizidi ..uwezo wa kufikiri hupungua,kwa initials hizo #KLMY# mmmh badamu batamwagika
 
Back
Top Bottom