Badala ya kuisubiri large scale LNG nakuomba waziri wa nishati tujikite kwenye small scale LNG na Mobile CNG stations zenye mitaji midogo

Badala ya kuisubiri large scale LNG nakuomba waziri wa nishati tujikite kwenye small scale LNG na Mobile CNG stations zenye mitaji midogo

Dangote Malori yake yoteyanatumia gesi CNG

Wachina wameshaweka CNG pumping station mfano kwa Dar es salaam.moja ya pumping station iko pale Temeke karibu na Tazara kutizamana na soko la Matilda na wanauza hasa

Uber nyingi Dar zinatumia gesi yaani CNG sababu ni cheaper.
Hata Malori mengi ya Dangote hujaza gesi yaani CNG pale kwa wachina Tazara
Hawa sasa ndio wamewin
 
mtoa post usijifanye msomi kuliko wenzako eleza mambo watu wakuelewe hii ni social platforms
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗Haya mambo tumekua tukishauri kila siku, ila hatuoni utekelezaji. Mpaka tunaona uvivu kuelezea kwa kina.
 
Back
Top Bottom