Badala ya kulima, wanapanda ndege kwenda kuomba ngano Urusi!

Badala ya kulima, wanapanda ndege kwenda kuomba ngano Urusi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Yaani nchi za Africa hasa Tanzania zimejaa viongozi wezi wa kura na wajinga jinga.

Hasa Tanzania. Mtu anaenda mpaka Urusi kuomba Ngano wakati tuna maeneo ya kulima. Halafu machawa wanashinda hapa kushabikia !!

Tumuulize Mwigulu amerudi na nini?
 
Yaani nchi za Africa hasa Tanzania zimejaa viongozi wezi wa kura na wajinga jinga. hasa Tanzania. Mtu anaenda mpaka Urusi kuomba Ngano wakati tuna maeneo ya kulima. Halafu machawa wanashinda hapa kushabikia !!

Tumuulize Mwigulu amerudi na nini?

..pia wameleta Warusi kuja kulima ndizi Tanzania.

..gharama za ujumbe wa serikali ulioenda Urusi zinatosha kuwawezesha Watanzania kuwa na mradi kulima ndizi kama ulioanzishwa na Warusi.
 
Changamoto kubwa ni mindset.
Imani kwamba hatuna uwezo wa kufanya (fikra za kitumwa) na watumishi wengi wa Uma kuamini kuwa wageni wanaweza kuliko wenyeji na watatoa rushwa zaidi.
 
Yaani nchi za Africa hasa Tanzania zimejaa viongozi wezi wa kura na wajinga jinga.

Hasa Tanzania. Mtu anaenda mpaka Urusi kuomba Ngano wakati tuna maeneo ya kulima. Halafu machawa wanashinda hapa kushabikia !!

Tumuulize Mwigulu amerudi na nini?
Huyo ni mzee wa per diem mwaka mzima anasafiri tu utadhani mchunga ng'ombe.
 
Ni ndoto kwa tz kujitegemea labda kutekana na kuandaliwa kuwa chawa
 
Yakiambiwa kistaarabu yatoke yanakuwa mabishi na kujitetea kwa kila namna.

Yakiachiwa yafanyae kazi hakuna cha maana yatafanya zaidi ya wizi na ufujaji wa pesa za uma na kuuza rasilimali na kuzunguka zunguka na magari yakiharibu pesa za Kodi za raia kwa matumizi yasiyo na kichwa wala miguu.

Raia wakiyatoa kwa maandamano yanauwa utadhani mashetani na hayataki kuwajibishwa kisheria yanateteana.

Raia wakisema wayakosoe mtandaoni yanateka na kuua. Swali linalogonga vichwa ni haya matakata yanataka nini hasa?
 
Back
Top Bottom