Yakiambiwa kistaarabu yatoke yanakuwa mabishi na kujitetea kwa kila namna.
Yakiachiwa yafanyae kazi hakuna cha maana yatafanya zaidi ya wizi na ufujaji wa pesa za uma na kuuza rasilimali na kuzunguka zunguka na magari yakiharibu pesa za Kodi za raia kwa matumizi yasiyo na kichwa wala miguu.
Raia wakiyatoa kwa maandamano yanauwa utadhani mashetani na hayataki kuwajibishwa kisheria yanateteana.
Raia wakisema wayakosoe mtandaoni yanateka na kuua. Swali linalogonga vichwa ni haya matakata yanataka nini hasa?