Baada ya hapo jana Ndg Pole pole kusema aliyoyasema, Inasemekana Leo mahali fulani watu wapatao 8 kutoka sehemu zilizotajwa na HP na wengine kutoka Idara moja. wamekutana.
Katika mazungumzo yao ambayo yamenaswa moja kwa moja na inzi wangu, inadaiwa kuwa wanajadiliana jinsi ya kufanya ili kuhakikisha kuwa madai ya Polepole huko tuendako yaonekane kuwa ni ya uongo.
Kwamba kuna uwezekano mkubwa mamifumo hayo yakaharibiwa makusudi kama defence mechanism iwapo wambea watatokea kutaka kufukunyua.
Kama inzi wangu hajaniletea habari za umbea, basi nchi hii tutazidi kuliwa mpaka masihi atakaporudi.