Badala ya kununua IST, PASSO, VITZ pata gari hii

Wakati kampuni ya toyota ikipamba moto kwa kutengeneza magari madogo yasiyokuwa na matumizi makubwa ya mafuta kampuni zingine kama benzi Nako hawako nyuma.

Kampuni ya benzi Ina ist yake inaitwa 2013 MERCEDES-BENZ.

A-Class

View attachment 2170259
Hii gari hauwezi kuiweka level za ist kabisa, acha toyota akae nafasi yake. Hiki chuma CIF yake BF inaanzia 6600 USD, ushuru wake TRA wameweka 10M tz ( huu ushuru wameukadiria na kutokana na CIF ya 5100 USD) Sasa hapo mkuu, si unanunua IST 2 old model unapata pesa ya android radio na pesa ya full tank inabaki[emoji16][emoji16]
 
Hahahahhaha kiongozi SEMA Ina Bei ila kwa upande wa injini vina CC1590 tofauti kidogo na ist 1400
 
Wakati kampuni ya toyota ikipamba moto kwa kutengeneza magari madogo yasiyokuwa na matumizi makubwa ya mafuta kampuni zingine kama benzi Nako hawako nyuma.

Kampuni ya benzi Ina ist yake inaitwa 2013 MERCEDES-BENZ.

A-Class

View attachment 2170259
Watu wananunua ist sio kwa kupenda bali hali ya umasikini hulazim, bei nafuu kuinunua, ulaji mafuta na spare.

Japo ukipiga hesabu vizuri hapo faida ni ulaji mafuta pekee kwani spare haukauki dukani hivyo ni ghali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…