High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Mwaka sio ishu service tu na huduma ya range rover isioishiwa kiu ya fundiTatizo ni kwamba range rover Vogue ya mwaka 2005 ni old model..ila harrier ya 2005 ni new model..
Tena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣Mwaka sio ishu service tu na huduma ya range rover isioishiwa kiu ya fundi
😄😄 Mti wa X-mas ulishawaka tayari hapo.Tena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣View attachment 2053007
Hahahahah hapo ndipo utapojua imani, upendo na miujiza ya mwingereza😅 picha linaanza mkeka kuuzima million 9 hapo ndipo unapoikuta renji ya 30M ikiuzwa million 9 kwa sossy magariTena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣View attachment 2053007
Wauzaji WA magari wanaangalia demand and supply ya bidhaa saizi Toyota harrier unaweza inunua mpaka Kwa milioni 32 na huku haiko stable Sana barabarani tofauti na gari za dunia ya tatu(mjerumani) sasa kama...
4.4L BMW engine....Cc ngapi mkuu
Siku itakapozingua ukahitajika kwenda service ndipo utajua hujui[emoji4]
We jitose weka spea og kiu ya fundi itapungua.Mwaka sio ishu service tu na huduma ya range rover isioishiwa kiu ya fundi
Ukisha ona hivo vinyota nyota kila ukilala unaviota kama vikatuni flani hivi hupati usingiziTena siku ukiliwasha ukakuta lipo hivi, ndio utajua hujui 🤣View attachment 2053007