Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

Badala ya kununua Toyota Harrier nunua hii gari

High Vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,915
Reaction score
2,134
Wauzaji WA magari wanaangalia demand and supply ya bidhaa saizi Toyota harrier unaweza inunua mpaka Kwa milioni 32 na huku haiko stable Sana barabarani tofauti na gari za dunia ya tatu(mjerumani).

sasa kama hivyo Bora ukanunua Range Rover VOGUE ya mwaka 2005 huku Kodi yake ikiwa kama 14m ukijumlisha na za kutokea japani unafika mapaka 26m huku unamiliki mnyama WA maana ambako barabarani uko peke yako unatoa hata nuksi za ukoo [emoji23][emoji23][emoji23] kuwa kwenye ukoo WA Fulani Fulani amewahi kumiliki range rover Vogue

Screenshot_20211221-233356.jpg
 
Natoa siri mkubwa gari ukiona lilitoka na bei kubwaaa afu likadepreciate haraka sana likimbie hilo gari....
Japo wahuni wa tako la nyani hawatoweka rekodi za ukoo kama mwenye vogue

Ila mwenye vogue ataweka rekodi
Kwenye ukoo
Garage
Na sheli

Ah watu wa matako ya nyani wanapita kimyakimya hapa wanakuchora tu
 
Wauzaji WA magari wanaangalia demand and supply ya bidhaa saizi Toyota harrier unaweza inunua mpaka Kwa milioni 32 na huku haiko stable Sana barabarani tofauti na gari za dunia ya tatu(mjerumani) sasa kama...

Hizi gari kama una uwezo wa kuagiza spare mwenyewe nje, nunua tu...

Bei ya ya nje ni Theluthi au Robo ya bei ya hapa bongo.

Slightly kuna unafuu.
 
Siku itakapozingua ukahitajika kwenda service ndipo utajua hujui[emoji4]

Sema likahibika...

Service kama za Oil ni kama tu gari zingine za ulaya.

Kuna mziki wa Air suspension hapo.

Japo hii gari air suspension yake ikitaga inaendesheka japo ground clearance inakuwa ndogo.

Ukiagiza hizo air suspension ni gharama ila ni nafuu kuliko hapa Bongo...

Haya Air suspension za RR ni gharama unadhani air suspension ya LC200 series ni bei rahisi?
 
Back
Top Bottom